FAHAMU KUHUSU U.T.I NA FANGASI SUGU.

U.T.I na fangasi ni tatizo kubwa ambalo huwapata wanawake wengi duniani mara kwa mara. Husababishwa na bakteria anaitwa E. coli ambaye huwa wanaishi kwenye utumbo mnene sehemu za tundu la haja kubwa, mwanamke anaambukizwa kirahisi sababu anapokuwa anachuchumaa kwenye haja kubwa au ndogo.
Madhara yake kwenye kibofu cha mkojo baada ya kuwa wengi wanahamia mwenye figo, ndio maana leo hii wanawake wengi wanaumwa figo. Figo zao zimeharibika sababu ya U.T.I. na kufa kifo cha ghafla.
Tafiti zinaonyeshwa kuwa nchini marekani watu milioni nane (8.1m) hupata U.T.I kila mwaka.

MIWASHO.
Kawaida mwanamke ana ulinzi ukeni kwake, yaani bakteria wazuri wanaishi kule kwa ajili ya kulinda uke, japo pia bakteria wabaya wanaishi kule lakini kwa uwiano, ya kwamba wale wazuri wanakuwa wengi ,kuliko wabaya (85:15). Sasa ikitokea kwamba wale bacteria wabaya wakawa wengi, hapo ndio utaona miwasho kwa mwanawake haishi kujikuna mara kwa mara.

FANGASI.
Inasababishwa na jamii ya fungi anaitwa CANDIDA. Seli za fangasi na bacteria wazuri huishi ukeni bila tatizo lolote.Tatizo linakuja endapo ukuaji wa fangasi hawa ukeni watakuwa wengi kushinda wazuri. Basi hapo ndio inapotokea ugonjwa wa fangas na miwasho mingi.

DALILI ZA U.T.I
1. Kukojoa mara kwa mara.
2. Mkojo kuwa na harufu kali.
3. Kusikia kichefu chefu na kupatika.
4. Maumivu ya misuli na tumbo hasa chini ya kitovu.
5. Kusikia maumivu wakati wa kukojoa.
6. Maumivu ya kiuno.
7. Kuwashwa sehemu za siri.
8. Kuhisi maumivu wakati wa kujamiiana.
9. Kupata vidonda vya ukeni.
10. Kuvimba na kuwa mwekundu kwa mdomo wa inje wa uke.
11. Kuhisi kuwaka moto sehemu za siri baada ya tendo la ndoa.
12. Kutokwa na uchafu wa rangi nyeupe au kijivu unaoweza kuwa mwepesi au mzito au majimaji.

VISABABISHI VYA FANGASI.
1. Mabadiliko ya homoni katika kipindi cha upevushwaji wa mayai kwa mwanamke kipindi cha ujauzito, utumiwaji wa uzazi, wa mpango na kukoma kwa hedhi.

2. Upungifu wa kinga mwilini: Mtu mwenye upungufu wa kinga mwilini kama vile mwenye kuugua kansa, ukimwi, magonjwa mbalimbali yenye kupunguza kinga ya mwili.

3. Kukosa usingizi stress, vidonda sehemu za siri,matumizi ya antibiotics, kuweka marashi sehemu za siri.

4. Watu wanaougua kisukari ambao hawawezi kudhibiti kwa kutumia dawa za kisukari, inakuwa kwenye damu na hicho kisukari ndiyo chakula kikuu cha hao fangasi.
Hata wanawake ambao wanapenda kula vyakula vya sukari nyingi kama vile chocolates, soda, na vingine vyenye sukari nyingi ambavyo ni chakula cha fangasi.

5. Mazingira ya joto hii inamaanisha nguo ambazo tunatakiwa kuvaa kama vile chupi za cotton hasa kwa  wanawake, hazihitaji joto sababu bacteria wabaya wanakuwa wengi sana na kusababisha miwasho na FANGAS

6. Kondomu na mbegu za kiume huharibu hali ya asidi iliyopo ukeni ambayo ni ya muhimu sana maana inasaidia kukinga uke usiingiliwe na bacteria wabaya.

MADHARA MAKUBWA YA FANGASI NA U.T.I.
Kupatwa kwa ugonjwa wa Pelvic Inflammatory Disease (PID) maambukizi katika via za uzazi na kupelekea kuwa ngumba, ndio maana wanawake wengi ni wagumba.

NAMNA YA KUJILINDA NA U.T.I NA FANGASI.
1. Tumia viini lishe na virutubisho i.e food supplements.
2. Kunywa maji mengi angalau glasi nane kwa siku.
3. Epuka matumizi ya pombe na kahawa.
4. Kunywa maji kabla ya kufanya mapenzi na kojoa baada ya kufanya mapenzi.
5. Jitawaze kuanzia mbele kwenda nyuma. (Front to Back)
6. Kata makucha marefu kwa sababu unavyokwenda chooni kujitawaza huwa baadhi ya uchafu unabaki kwenye makucha na ndio chanzo cha wanawake wengi kuwa na U.T.I inayojirudia mara kwa mara.
7. Tumia pads ukiwa kwenye period.
8. Ebuka kujipulizia pafyumu kwenye sehemu za siri.
9. Vaa nguo za ndani za pamba na epuka nguo zilizobana sana.

SULUHISHO LA WENGI.
Watu wengi wanapokuwa na U.T.I huenda kupewa antibiotics ambazo huenda kuua bakteria wazuri na matokeo yake baada ya muda U.T.I inarudi kwa kasi sana.

SULUHISHO BORA LA KUDUMU.
Kampuni inakuletea bidhaa ambazo hazina kemikali na imedhibitishwa kwa wewe ambae unataka kurudisha afya yako kujikinga na maradhi hayo isitoshe hizi ni bidhaa ambazo kila mwanamke anatakiwa atumie.
Unapaswa wewe mwanamke usjioshee kila siku badala ya kuweka marashi au sabuni za chemical, zaidi huuwa bacteria wazuri na kuwaacha wale wabaya pia inaenda kurudisha na kulinda seli za uke kuzipa chakula seli na kurudisha sehemu zake katika hali ya usichana kutibu fangas na U.T.I, kuondoa harufu mbaya na majimaji machafu ukeni.

Wasiliana nasi kwa ushauri zaidi.

By Adah Peter Dangwa.
0714560991 AU 0768557773

Post a Comment

0 Comments