A: MFANO WA KINGA YA MWILI.
Kama nchi ilivyo na majeshi ya ulinzi na usalama, kwa ajili ya kulinda na kusimamia usalama wa Raia na mali zake vivyo hivyo mwili una mfumo wake wa kujilinda. Kinga ya mwili (CD4) ni sawa na askari jeshi wanaolinda nchi yao.
Wanajeshi wanahakikisha ulinzi, amani na usalama vinapatikana nchi yote ili kila mwananchi apate nguvu ya kufanya kazi na nchi ipate maendeleo.
Ni jukumu la serikali kuhakikisha wanajeshi hao wanapata nguvu kila siku na vifaa vya vita, ili waweze kupambana na adui kwa njia yeyote.
B: UFAFANUZI WA KINGA YA MWILI.
Ulinzi wa kwanza upo kwenye ngozi na wa pili katika seli nyeupe. Ngozi ni organi ya kwanza kwa ukubwa katika mwili wa binadamu huzuia vimelea vya magonjwa visiingie ndani ya mwili lakini vikiingia mwilini, kinga ya mwili hupambana na vimelea hivyo.
Kazi ya kinga ya mwili ni kuhakikisha kila kiungo kiko salama na kinafanya kazi ipasavyo ili binadamu aweze kuishi maisha marefu yenye afya njema.
Mwili hutegemeana hivyo ni rahisi kuwa na ugonjwa zaidi ya mmoja na hii hutokana na kinga ya mwili kudhoofika. Ni jukumu letu sote kuhakikisha kinga yetu ya mwili inauwezo wa kulinda viungo vyetu.
Kinga ya mwili inaweza kuongezeka au kupungua (kudhoofika). Huongezeka kupitia vyakula pia hupungua kupitia mashambulizi dhidi ya maradhi.
Maradhi hayo yanatokana na kula vyakula ambavyo siyo sahihi kutokana na jinsi tulivyoumbwa.
Tuliumbwa na makundi tofauti ya damu, vivyo hivyo tunatakiwa kula vyakula vinavyoendana na makundi yetu ya damu. Chanzo cha magonjwa yote unayoyajua ambayo siyo ambukizi ni kutokana na vyakula vyetu vya kila siku na mfumo wa maisha tunaoishi.
Vyakula tunavyokula viko aina tatu (3).
Kuna vyakula tukila vinaongeza kinga ya mwili, Kuna vyakula tukila vinabaki kuwa kama vyakula tu hatunufaiki chochote yaani tumbo linajaa tu, Kuna vyakula tukila vinakuwa sumu mwilini.
Vyakula hivyo husababisha kinga ya mwili kudhoofika, kuharibu mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula na mzunguko wa damu.
VITU VINAVYOSABABISHA KINGA YA MWILI KUDHOOFIKA
- Mfumo mbovu wa utumbo: Kama unasumbuliwa mara kwa mara na tumbo kujaa gesi, tumbo kuunguruma, kutokupata choo au kuharisha inamaanisha kuwa kuna kitu hakijakaa sawa kwenye njia ya utumbo, mara nyingi watu husema kuwa, “wewe ni matokeo ya unachokula”lakini mimi huwa nasema kuwa, “wewe ni matokeo ya vitu unavyo nyonya kutoka kwenye chakula”. Kama mmengenyo wa chakula ni mbovu hautopata virutubisho kutoka kwenye mlo na lishe zako.
- Matumizi ya pombe yaliyokithiri: Pombe aina yeyote siyo kitu cha kuleta afya, kama unauwezo wa kuiacha achana nayo, kama huwezi kuacha punguza utumiaji wa pombe, ujiwekee nidhamu mwenyewe na utii.
- Kukosa usingizi: Kila binadamu anapaswa kulala masaa kadhaa kulingana na umri wake ili kinga ya mwili izidi kufanya kazi vizuri. Kuanzia miaka 26 – 64, wanastahili kulala masaa yasiopungua 7 – 9. Watu wazima kuanzia umri wa miaka 65 kuendelea wanapaswa kulala masaa yasiopungua 7 – 8.
- Kukaa kwa muda mrefu (sitting too long is the new smoking, kills than HIV)
- Ukosefu wa mazoezi: Mazoezi ni kitu muhimu sana ambacho binadamu yeyote anapaswa kukifanya. Kwakufanya mazoezi kunasaidia kuimarisha kinga ya mwili.
- Uvutaji sigara: Kama unavuta sigara unashauriwa kuacha kabisa.
- Matumizi ya mabaya sukari ambayo huenda kulisha bacteria wabaya mwili ambao ni chanzo magonjwa kwenye utumbo mpana.
- Msongo wa mawazo, hasira, kinyongo, saratani, HIV.
- Mfadhaiko wa akili: stress za mara kwa mara na baadae husababisha madhara kama Kisukari, matatizo ya moyo, kupooza, shinikizo la damu, pumu n.k
- Dawa za hospitali: Hii ni kutokana na kemikali zilizoko ndani ya hizo dawa, baada ya muda zinaathiri kinga ya mwili na utendaji kazi wa kinga.
- Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango.
- Umri mkubwa: Kadri umri unavyoongezeka ndio kinga ya mwili inapungua. Kama una umri mkubwa ni vema ukaweka utaratibu au program ya virutubisho kwa ajili ya kuongeza, kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili ili uishi maisha yenye furaha na afya njema. Inakupasa ujali afya yako mapema.
MADHARA YATOKANAYO NA KUDHOOFU KWA KINGA YA MWILI
Kinga ya mwili inaposhuka mwili huwa katika hatari kubwa sana ya kukabiliana na madhara mbalimbali ikiwemo:
- Magonjwa nyemelezi: mafua, homa, kifua, malaria n.k.
- Urahisi wa mwili kupata magonjwa yasiyo ambukizi: Mvurugiko wa Homoni, vimbe tumboni, vidonda vya tumbo, mvurugiko wa hedhi, Utasa au Ugumba, Uzito uliyokithiri, Kitambi na Heshima ya ndoa kupungua kwa wakina baba, Tezi dume, Kisukari, Figo na Ini kushindwa kufanya kazi, matatizo ya mapafu, Maumivu ya viungo, Ugonjwa wa macho, matatizo ya moyo, kupooza, Pressure, Matatizo ya ngozi na Menaupose, Kuzeeka kabla ya wakati, maumivu ya kichwa, kufunga kwa choo, Bawasiri – Hemorrhoids, Vidonda ndugu (Vidonda visivyopona haraka), malaria sugu, kifua kikuu, mkanda wa jeshi n.k
- Urahisi wa Mwili kupata maambukizi ya virusi na bacteria sugu: HIV, Homa ya Ini , Saratani, Alegi, Pumu n.k
- Kujaa sumu mwilini: Sumu zikizidi hupelekea mlipuko wa magonjwa mwilini, na chanzo cha sumu kuzidi mwilini ni kinga ya mwili kudhoofika.
- Kufa kwa seli nyeupe katika mwili
- Mwili kuwa mdhaifu: Kuumwa mara kwa mara.
SULUHISHO BORA KWA AJILI YA KUBORESHA NA KUIMARISHA KINGA YA MWILI.
Kinga ya mwili huwa chini sana kwa watoto wadogo na mama wajawazito.
Kinga ya mwili sio kitu cha kuimarisha kwa siku moja, ni suala endelevu, mwili unapambana kila siku ili uhakikishe una afya na usalama.
Kinga yako ya mwili ikiwa bora na imara siyo rahisi mwili wako kushambuliwa na virusi, bacteria, fangasi n.k. Jali kinga ya mwili ndiyo afya na usalama wako.
Kinga ya mwili wako ikiwa chini unajiweka kwenye hatari ya kushambuliwa na magonjwa kwa urahisi.
Kuumwa mara kwa mara ni dalili ya udhaifu wa kinga ya mwili, hii inamaanisha majeshi ya kulinda mwili yamezidiwa na vimelea vya magonjwa, hapo ndipo dalili za ugonjwa husika huanza kujitokeza.
Kuna program ya virutubisho vilivyotengenezwa kutoka kwenye vyakula mbalimbali kwa ajili ya kuongeza, kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili.
Lengo letu ni kuhakikisha jamii ina afya njema ili kila binadamu aishi maisha marefu yenye furaha tele.
Program hiyo itakusaidia:
– Kuzalisha na kuongeza CD4 kwa wingi mwilini.
– Kuboresha na kuimarisha kinga ya mwili.
– Kuongeza misuli, kuupatia mwili nguvu tosha na kukusaidia afya yako isizidi kudhoofika (kupungua ghafla uzito).
– Kuweka sawa mfumo mzima wa mmeng’enyo wa chakula na mzunguko wa damu
– Kuongeza damu mwilini.
– kusaidia ubongo kufanya kazi kwa haraka sana, akili kutochoka mapema.
– Kuboresha na kuimarisha mfumo wa macho.
– Moyo kufanya kazi vizuri na mzunguko wa damu kuwa sawa.
– Kuzalisha ute ute kati ya viungo: kukuepusha kupata maumivu au matatizo ya viungo.
– Kuweka sawa homoni (akina mama): kuwa na mzunguko sawa wa hedhi, mayai kupevuka, kuondoa ukavu ukeni na kutengeneza joto n.k.
– Kurudisha, kuboresha na kuimarisha heshima ya ndoa
– Kusaidia ngozi izidi kung’aa na kuondoa machunusi, vipele na mikunjo itokanayo na kinga ya mwili kudhoofika.
– Kuweka mwili sawa ili ujiepushe na matatizo ya kiafya kama: saratani, kisukari, pressure, ini, ngozi kuharibika, UTI, kupooza, tezi dume, matatizo ya figo n.k.
Kwa yeyote anayehitaji hivi virutubisho vya kuboresha na kuimarisha afya yake awasiliane na kampuni kwa namba zifuatazo: Call/Whatsapp 0714560991.
0 Comments