FAHAMU AFYA YA TEZI DUME - PROSTATE CANCER.

Kila mwanaume amezaliwa na tezi dume. Saizi yake kwa kawaida huwa na ukubwa unaolingana na punje ya njegere na huongezeka ukubwa na hata kufikia ile ya tunda la apple. Hupatikana kwenye mfumo wa uzazi ambao kazi yake hufanyika kupitia mirija inayopitisha mkojo kutoka kwenye shingo ya kibofu cha mkojo, pia hupita katikati ya tezi ambayo kazi yake kubwa ni kutoa majimaji ambayo hulinda, kurutubisha na kusafirisha shahawa.

Kutokana na mtindo mbaya wa maisha tezi dume inaanza kuwa kubwa na hutanuka kadiri umri unavyokwenda. Takwimu zinaonyesha kuwa wanaume kuanzia miaka 35 wako kwenye hatari ya kupata tezi dume. Wanaume 8 kati 10 tayari wana tezi dume iliyotanuka. Na pia hii ni kawaida sana kwa watu wazima kuanza kusumbuliwa na dalili za vibofu ambavyo hupelekea kutanuka kwa tezi.




                                        TEZI DUME NI NINI ?!

Ni kansa ambayo inakua kutoka kwenye seli za tezi. Tezi dume ni moja ya kansa ambayo inaua sana wanaume wengi duniani. Kila mwaka karibu wanaume 40,000 nchini uingereza walikutwa na tezi dume. Mwanaume 1 kati 8 huathiriwa sana na tezi dume katika hatua fulani ya maisha yao.








                                          CHANZO
Kansa hii husababisha uvimbe kutoka kwenye moja ya seli isiyo ya kawaida (abnormal cell). Sababu halisi kwa nini seli huwa isivyokawaida haijulikani mpaka sasa. Huwa inafikirika kuwa kuna kitu huwa kinaharibu au kubadilisha genes fulani kwenye seli za tezi ambazo hufanya seli za tezi kuwa zisizo kawaida.
Kutokana na kuwa chanzo halisi hakijulikani, kuna hatari fulani zinachangia kutokea kwa tezi dume.
➢ Umri mkubwa. Hatari ya kupata tezi dume inaongezeka kadri umri unavyokwenda. 
➢ Jamii (Races). Kutokana na sababu ambazo hazijulikani mpaka sasa, wanaume weusi wana hatari kubwa sana ya kupata tezi dume kuliko wanaume wasio weusi. Kwa wanaume weusi, tezi dume huwapata kwa kasi na kwa kiwango cha juu sana. 
➢ Historia ya familia. Kama kuna mmoja ya wanaume kwenye familia yenu aliwahi kupata tezi dume, basi uko kwenye hatari kubwa sana. 
➢ Uzito uliopitiliza. Wanaume wenye vitambi, unene usio wa kawaida na uzito wakipatikana na tezi dume huwa ni ngumu sana kupona magonjwa ya ziada yanayoibuka. 
➢ Mazingira (Ethnic group). Tezi dume huwapata zaidi watu weusi na idadi ndogo huwapata wasio weusi. 
➢ Ukosefu wa mlo kamili wenye lishe na virutubisho muhimu mwilini. Hichi ni kisababishi hatari kwa kula vyakula vyenye mafuta sana na ukosefu wa matunda na mboga mboga. 
 Kutokufanya mazoezi. 
 Matumizi ya pombe kali. 
➢ Uvutaji wa sigara. 
➢ Msongo wa mawazo (Stress). 

                                        DALILI. 
Tezi dume mara nyingi inakua taratibu. Kunaweza kusiwe na dalili mwanzoni, hata kwa miaka. Kadiri uvimbe unavyokua, inaweza kuathiri utendaji kazi wa shingo ya kibofu cha mkojo, au ikaathiri mtiririko wa mkojo. Dalili hizi zinaweza kuendeleza vifuatavyo. 
                               A) DALILI ZA MWANZO. 
• Kuhisi maumivu makali wakati wa kukojoa ambayo hupelekea kushika mpaka ukutani. 
• Kukojoa mkojo uliochanganyikana na damu. 
• Kuhisi kibofu kimejaa mkojo muda wote, ukienda kukojoa mkojo hautoki lakini ukirudi unahisi kukojoa tena. 
• Mtiririko wa mkojo huwa dhaifu na huchukua muda mrefu sana kibofu cha mkojo kuwa tupu.
• Mkojo husita kutoka na unaweza ukasubiri kwa masaa mpaka mkojo uanze kutoka. 
• Mabaki ya mkojo yanaweza kuchafua nguo zako baada tu kumaliza kukojoa kwa sababu inachukua muda mrefu kibofu chako kuwa tupu. 
• Kukojoa mara kwa mara wakati wa usiku. 

                        B) DALILI ZA MTU ALIYEATHIRIKA.
• Maumivu ya mifupa hasa chini ya mgongo, kiuno na mbavu. 
• Miguu kuwa dhaifu. 
• Kushindwa kumudu tendo la ndoa kwa sababu ya maumivu makali wakati unamaliza tendo la ndoa. 
• Kushindwa kuzuia mkojo, pindi unapohisi kukojoa. 
• Kushindwa kuzuia haja kubwa. 

                       MADHARA YA TEZI ILIYOTANUKA. 
Katika hatua za awali tezi inapotanuka hugunduliwa kwa kupimwa kwa njia ya kidole. Hii ni njia ambayo daktari huingiza kidole kwenye njia ya haja kubwa ili kuweza kubaini kama tezi imetanuka au la. Kipimo hiki ndicho rahisi kinachokubalika duniani kote na kisicho na gharama. Lakini kimekuwa kikipata upinzani kutoka kwa wanaume kutokana na imani potofu ya wahusika wa tatizo hili kuona ni udhalilishaji.


Kipimo kingine ni kipimo cha damu kiitwacho Prostate Specific Antigen (PSA)Damu huchunguzwa aina ya protein inayozailishwa na seli za tezi dume. PSA huonesha kuwapo kwa tatizo kwenye Tezi Dume, lakini kipimo hiki hakina uwezo wa kutofautisha endapo tatizo hilo linamaanisha saratani.

                             Yafuatayo ni madhara ya tezi iliyotanuka:
Kibofu cha mkojo kuuma hivyo hupelekea mkojo kurudi juu na kuharibu figo na Ini.
- Kufunga kwa njia ya mkojo kabisa.
- Figo kushindwa kufanya kazi (Kidney Failure).
- Kushindwa kumudu tendo la ndoa (Ndoa zinavunjika). 
- Ugumba (Infertility for men). 
- Kutokea kwa majipu sehemu ya tezi dume. 
- Kifo. 

                  SULUHISHO KWA TEZI ILIYOTANUKA. 
A) SULUHISHO LINALOPENDWA.
Watu wengi hukimbilia hospitali pindi wanapopatwa na madhara ya tezi dume na kujikuta wakipewa tiba ambazo huficha tatizo hilo kwa muda mfupi kisha tatizo hujirudia kwa kasi kubwa sana.

Tezi iliyotanuka haiwezi kutibika kwa njia za madawa yenye kemikali au mitishamba lakini madawa au upasuaji hupunguza maumivu ya dalili na kuzifanya zisizidi sana. Pia tiba hizi zina faida na hasara zake ndio maana ni vizuri kukaa chini kuongea na daktari akueleze kwa upana ni kitu gani kitatokea kabla na baada ya kufanya hizo tiba.

Kuna njia 3 za kudhibiti tezi iliyotanuka.
1. Kusubiri na kufuatilia kwa ukaribu na Daktari wako.
Inashauriwa kwamba kwa tatizo hili ni bora kuendelea kulichunguza bila kukimbilia tiba kali kama madawa, upasuaji na tiba kemikali, mpaka pale mtu atakapoona hakuna njia mbadala.

2. Madawa.
“Baadhi ya madawa wanayopewa wagonjwa wa saratani ya tezi dume yaligunduliwa miaka 30 iliyopita, yanasababisha athari kwenye Ini, Moyo na kuvimbisha magoti. Yamepigwa marufuku katika Nchi haswa za Ulaya.
– Johnathon Waxman, Cancer Specialist, Hammer Smith Hospital, London

3. Upasuaji.
Njia hii ambayo madaktari hutumia inapelekea “70% ya wagonjwa kuwa mahanithi baada ya upasuaji, na 40% wanashindwa kuzuia mkojo kutoka wanapobanwa na haja ndogo.”
– Johnathon Waxman.

Inasikitisha kuona wanaume wanapasuliwa bila uhakika wowote kwamba huo upasuaji utakuwa na manufaa au utatatua tatizo lao.
                      B) SULUHISHO BORA LA KUDUMU.
Tezi dume inatanuka kwa sababu ya upungufu wa madini na virutubisho mwili unavyohitaji.
Kwa watu wenye changamoto hii ya kutanuka kwa tezi dume na mfumo wa uzazi wa mwanaume, tumewaandalia program ya lishe kamili na virutubisho muhimu. Bidhaa hizi ni vyakula siyo dawa wala mitishamba. Zimetengenezwa kutoka kwenye vyakula ambavyo tungefaa kula kila siku na vina lishe kamili na virutubisho muhimu katika miili yetu inavyohitaji ili iweze kutengeneza yenyewe afya bora na nadhifu. 

Hizo bidhaa zina mchanganyiko wa vitu vifuatavyo: Proteins, Vitamins, Minerals, Essential Fat Acid and Trace minerals.



Kwa yeyote anayehitaji hii program ya kuboresha na kuimarisha afya yake ya tezi dume na mfumo mzima wa uzazi wa mwanaume awasiliane nasi kupitia :+255714560991 AU +255768557773.

Post a Comment

0 Comments